LOGO

Tangazo la Zabuni ya Wakala Wa Utozaji wa Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara za Mkoa Wa Njombe

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURIYA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA M WAKALA WA BARABARA ZA MIJINI NA VIJIJINI TANZANIA-(TARURA)

Ofisi ya mratibu mkoa
S.L.P 842
Njombe
Simu: 026-2782445
Nakushi;026-2782445
Barua pepe:
[email protected]

Unapojibu tafadhali taja

TANGAZO LA ZABUNI LA

WAKALA WA UTOZAJI WA ADA ZA MAEGESHO YA VYOMBO VYA USAFIRI KWENYE HIFADHI ZA BARABARA ZA MKOA WA NJOMBE

Wakala wa barabara za vijijini na mjini Tanzania (TARURA) Mkoa wa Njombe unakusudia kutumia huduma za Wakala kutoza ada za maegesho ya vyombo vya usafIri katika maeneo ya hifadhi za barabara zote zilizo chini ya usimamizi wake katika Halmashauri ya Mji Njombe na Halmashauri ya Mji Makambako.

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) unapenda kuwakaribisha waombaji wenye sifa kutuma maombi yao kwa ajili ya zabuni zifuatazo:

NA JINA LA ZABUNI NAMBA YA ZABUNI ENEO HUSIKA ADA STAHIKI YA ZABUNI (TSHS)
1 Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara Katika Halmashauri ya Mji Njombe AE/092/2019-2020/NJ/NCS/06 Halmashauri ya Mji Njombe. 100,000.00
2 Wakala wa Kutoza Ada za Maegesho ya Vyombo vya Usafiri Kwenye Hifadhi za Barabara Katika Halmashauri ya Mji Makambako     AE/092/2019-2020/NJ/NCS/07 Halmashauri ya Mji Makambako. 100,000.00

SIFA ZA MUOMBAJI: Muombaji atatakiwa kuwa na sifa zifuatazo

Awe Mtanzania

  • Muombaji awe ni Kampuni iliyosajiliwa kwa mujibu wa Sheria 2a Tanzania na ambayo haijawahi ‘ kuzuiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kujihusisha na shughuli za Ununuzi wa Umma.
  • Muombaji awe na mtaji usiopungua Shilingi Milioni Mia Moja (1 00, 000, 000. 00) ambao umeainishwa kwenye Memoranda ya Kampuni (Memorandum and Articles of Association) an ushahidi kuwa ”Kampuni iliongeza mtafWake.
  • Muombaji awe na 065i ya kudumu anapofanyia kazi zake.
  • Muombaji awe na leseni hai ya biashara ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho.
  • Muombaji awe na uzoefu usiopungua miaka miwili kuanzia mwaka 2014 kwenye kazi ya uwakala wa utozaji wa ada ya maegesho ya Vyombo vya UsafIri kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Majiji, Manispaa auTaasisi za Serikali.
  • Muombaji awe na cheti cha Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN)
  • Muombaji awe amesajiliwa kulipa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
  • Muombaji awe na hati halali ya kuthibitisha ulipaji wa kodi (Tax Clearance)
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha zilizokaguliwa (Audited Financial Statement) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2015 hadi 2018.
  • Muombaji awe na taarifa za kifedha ya benki (Bank Statement) ya kipindi cha kuanzia tarehe 1 November, 2018 mpaka tarehe 30 May, 2019 yenye mauzo (turnover) yasiyopungua Shilingi 120,000,000.00 Taarifa hiyo lwe na ”Certificate of Balance” kutoka katika Benki husika.
  • Muombaji awe na cheti cha OSHA kinachoonyesha kukidhi matakwa ya Sheria Na. 5 ya Mwaka 2003
  • Muombaji awe amesajiliwa kwenye Mfuko wa Fldia kwa wafanyakazl (WCF) kwa mujibu wa Sheria ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi Sura ya 263 pitlo la Mwaka 201 S.
  • Muombaji awe na sifa njema ya kufanya kazi ya Uwakala wa kukusanya ada za maegesho ya vyombo vya usafIri kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa hususani Manispaa na Majiji, Manispaa au Taasisi za Serikali
  • Asiyewahi kuwa na mashauri katika chombo chochote cha Kisheria kuhusiana na mkataba wa aina yoyote na Taasisi yoyote ya Serikali.

Zabuni zitashughulikiwa kwa utaratibu wa ushindani wa kltaifa [National Competitive Bidding] ulioainishwa kwenye Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2013. zlkisomwa pamoja na marekebisho yake ya Mwaka 2016 na ziko wazi kwa waombaji wote wa hapa nchini.

Waombaji wote wenye nia na uwezo wanaweza kupata taarifa kamili kupitia makabrasha ya zabuni katika ‘ofIsi ya Katibu wa Bodi Kasimu ya ZabuniTARURA Mkoa wa Njombe, kupitia anuani iliyotajwa kwenyejedwali hapojuu kila siku kuanzia saa mbili kamili (02.00) asubuhi hadl saa tisa (09:00) kamili alasiri, siku za Jumatatu hadi Ijumaa [isipokuwa siku za sikukuu zinazotambullka kitaifa.

Muombaji atatakiwa kujaza kwa usahihi na kuwasilisha Fomu ya dhamana ya zabuni (Bid Securing Declaration) kwa muundo unaopatikana kwenye kabrasha la zabuni.

NYaraka za Zabuni zitapatlkana baada ya kulipa ada stahiki ya zabunl ya Shillingi Laki Moja m (TZS 100,000.00) Kupitia JINA LA AKAUNTI TARURA COLLECTION ACCOUNT akauntl namba 53010001080 iiiyopo katika Benki ya NMB, Muombaji atatakiwa kuwasillsha nakala halisi ya hati ya malipo ya Benki ikiambatana na barua ya maombi ya Zabuni husika katlka ofisi ya Mratibu TARURA Mkoa wa Njombe. Malipo yaliyotoiewa kama ada ya maombi ya zabuni hayatarejeshwa.

Zabuni zote ziwe na nakala halisi (original) moja (1) na nakala (copies) tatu (3) zinazofanana zifungwe ndani ya bahasha iliyofungwa kwa lakiri na juu ya bahasha ziandikwe maelezo ya Zabuni na kisha iandikwe na kuwasilishwa kwa anuani ifuatayo: Katibu wa Bodi Kasimu ya Zabuni TARURA Mkoa wa Njombe, S. L. P 842, oiisi zipo Mkoa wa Njombe Ofisi za SIDO.

Siku ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya zabunl ni tarehe 18/06/2019 kabla ya saa 04:00 asubuhl. Zabuni zitafunguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha zabuni, waombaji wote au wawakilishi wao wanaalikwa kuhudhurla ufunguzl wa zabunl hlzo utakao fanyika siku hiyo katika Ukumbl wa SIDO karibu na 0051 ya Mratlbu wa TARURA Mkoa wa Njombe.

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) hautalazimlka kukubali/ kutokukubail kutoa zabuni kwa mwombaji yeyote kutokana na kigezo cha mallpo makubwa/mallpo kldogo ya zabuni.

Zabuni zItakazochelewa kuwasilishwa, zabunl za kielektroniki, na zabuni zisizofunguliwa katlka tukio Ia ufunguajl zabuni, kwa haIi yoyote Ile hazitakubaliwa kwa tathmlni.

MRATIBU WA MKOA
WAKALA WA BARABARA ZA VIJIJINI NA MIJINI TANZANIA (TARURA)
MKOA WA NJOMBE
Source; Daily News
Date; 04/06/2019

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related