LOGO

Tangazo la Zabuni Shule ya Msingi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE SCHOOL

CHIRIKU ST, PLOT 2069/1, BLOCK E, MBEZI BEACH, P.O..BOX 9443,
TEL: 2617688/9, DAR ES SALAAM
E-mail: [email protected] l Web: mwalimujknyerere.sc.tz

TANGAZO LA ZABUNI

Shule ya Msingi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyopo Mbezi Beach, Kinondoni, Dar es Salaam, yenye mchepuo wa kiingereza, inatoa huduma za: Usafiri maeneo yote ndani ya Dar es Salaam, Chai na chakula cha mchana, Vitabu vya masomo yote vinavyofuata mtaala wa Taifa, Madaftari, Maabara ya komputa, Zahanati ya shule, CCTV Camera kwenye kila darasa na eneo lote Ia shule, Ziara za kimasomo ndani na nje ya nchi. Shule inatangaza zabuni zifuatazo:

ZABUNI NA.MWL/JKNS/O1/2019 USAFIRISHAJI WA WANAFUNZI.
ZABUNI NA.MWL/JKNS/02/2019 HUDUMA YA CHAI NA CHAKULA CHA MCHANA KWA WANAFUNZI NA WAFANYAKAZI.
ZABUNI NA.MWL/JKNS/O3/2019 HUDUMA YA SARE ZA WANAFUNZI.
ZABUNI NA.MWL/JKNS/O4/2019 HUDUMA YA VIATU VYA SHULE NA SOKSI.
ZABUNI NA.MWL/JKNS/05/2019 HUDUMA YA VITABU VYA KIADA.
ZABUNI NA.MWL/JKNS/06/2019 HUDUMA YA MADAFTARI YA WANAFUNZI.

MASHARTI YA JUMLA KWA ZABUNI ZOTE HAPO JUU.
Zabuni ni za ushindani na uwazi kwa watu binafsi na makampuni.

Wazabuni wenye nia na uwezo wanaweza kupata maelezo zaidi na kukagUa nyaraka ya zabuni kwenye ofisi ya Msarifu wa shule kuanzia saa 1.30 asubuhi hadi saa 9.30 mchana kuanzia Jumatatu hadi ljumaa isipokuwa siku za sikukuu.

Seti iliyokamilika ya nyaraka ya zabuni inapatikana shuleni kwa bei ya Tsh.100, OOO/j (Laki moja tu) ambayo hairejeshwi.

Zabuni zote nakala halisi na isiyo halisi zikiwa zimejazwa zifungwe kwenye bahasha na iwasilishwe tarehe 6/12/2019 saa sita 6.00 mchana.

Mtendaji Mkuu, Shule ya Mwallmu Jullus Kambarage Nyerere
s.L.P 9443
DAR Es SALAAM.

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related