SUA

Tangazo la zabuni Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Morogoro

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO MOROGORO

NAMBA YA KOTESHENI PA/012/2019-2020/HQ/W/22

KWAAJILI YA

HUDUMA YA KUPATA MAFUNDI WA KUFANYA UKARABATI WA MAJENGO MBALIMBALI YA OFISI, NYUMBA ZA WANYAMA NA UTAFITI KAMPASI KUU YA SUA

MWALIKO WA KOTESHENI

1. Mwaliko wa koteshen unafuata tangazo la jumla la ununuzi (TJU) kwaajili ya dhuoo kikuu cha SUA mwaka 2019/2020 wa fedha baada ya kufanyiwa mapitio

2. Serikali ya Tanzania imetenga fedha kwaajili ya uendeshaji wa Chuo Kikuu SUA katika mwaka wa fedha 2019/2020. Inakusudiwa kuwa sehemu ya fedha hizo itatumika kugharamia malipo ya mkataba ambao unatolewa katika mwaliko huu wa kotesheni(zabuni ndogondogo)

3. Unakaribishwa kuleta kotesheni yako bei kwaajili ya utekeleaji wa kazi kama ilivyoelekezwa hapo kwenye mchanganuo wa makadirio ya kazi (mmk) kama ilivyofafanuliwa katika sehemu ya II ya nyaraka hizi

4. Waombaji wote wanaweza kupata kabrasha la kotesheni hii katika ofisi ya Afusa Mkuu Ununuzi na Ugavi jingo la Utawala kampasi Kuu Chuo cha SUA

5. Kotesheni zote katika uhalisia wake (Original) pamoja na nakala(copy) zinazofanana zilizojazwa kwa usahihi na kuekwa kwenye bahasha isiyo na maandishi juu na kuandikwa kotesheni namba , kundi namba na KAZI YA KUPATA MAFUNDI WA KUFANYA UKARABATI WA MAJENGO MBALIMBALI YA OFISI, NYUMBA ZA WANYAMA NA UTAFITI KAMPASI KUU YA SUA ni lazima ipelekwe kwa
Ofisi ya Afusa Mkuu wa UgAVI NA Manunuzi,

Jengo la Utawala, Kampasi Kuu,
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kiimo,
S.L.P 3000
Morogoro.

6. Waombaji wote wanatakiwa kuhudhuria kikao kabla ya kuwasilisha zabuni(pre-bid meeting) kitakachofanyika tarehe 1/06/2020 siku ya jumatatu saa 3;00 asubuhi jingo la utawala chuo kikuu cha sokoine ili wapate nafasi ya kutembelea na kuonyeshwa maeneo yote yanayohusika na ukarabati huo kwa mujibu wa mwaliko wa kotesheni

7. Siku ya mwisho ya kuwasilisha kotesheni ni jumatano tarehe o3 Juni 2020 kabla ya saa 8 mchana. Kotesheni zote zitafunguliwa hadharani mara tu baada ya muda wa mwisho wa kuwasilisha mbele ya wawakilishi wa zabuni wanaoamua kuhudhuria katika ufunguzi wa zabuni katika Ukumbi wa miktano Gorofa ya pili jingo la utawala chuo kikuu cha SUA Morogoro.

8. Kotesheni zitakazo chelewa na za kieletroniki hazitakubaliwa kwaajili ya kutathiminiwa kwa hali yoyote ile

MAKAMU MKUU WA CHUO
SHUO KIKUU CHA SOKOINE CA KILIMO
MOROGORO

Chanzo Daily News May 29 2020

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related