MOI

TANGAZO LA MNADA WA HADHARA-MOI

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

P.O.BOX 65474; DAR ES SALAAM, TANZANIA, MUHIMBILI COMPLEX

EXECUTIVE DIRECTOR: +255-022-2153359

GENERAL LISES: +255-022-2151298/2152937/2152935

FAX: +255-022-2151744

E-MAIL: [email protected]

website: www.moi.ac.tz

OFFERING SERVICES IN ORTHOPAEDICS, SEUROSURGERY AND TRAUMATOLOGY

 TANGAZO LA MNADA WAHADHARA MOI

Wananchi wote mnatangaziwa kwamba Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) itauza kwa nja ya mnada wa hachara vifaa chakavu vikiwemo vifaa tiba, vifaa vya ofisi pamoja na samani za olfisi. Mnaca vtafanyika tarehe 29/0S/2022 kuanzia saa ene (4:00) Asubuhi katika eneo la Taasisi (‘Emergence’ sehemu ya maegesho ya magari’) jijini Dar es Salaam.

MASHARTI YA MNADA

1, Kifaa kitarunuliwa kama kilvyo na mahal: kilipo.

2. Mrunuzi atalaz’mika kulipa asilimia mia moja (100%) ya thamani yote na kuondoa kifaa / vifaa atakavyonunua siku ya mnada

3 Mrnunuzi atakayetamka be: ya juu na kushindwa kulipia, hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa sheria za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  Ruhusa ya kuangalia vifaa hivyo vinavyotarajwa kuuzwa itatolewa siku hiyo biyo ya mnada

5. Baada ya kukamilisha malipo vifga vitaondolewa si<u hiyo ya mnada

6. Namba ya mawasiliano 0736 960 144 / 0652 960 144

MKURUGENZ) MTENDAJI

TAASIS  YA MIFUPA MUHIMBILI (MOl) 29th  Aprili, 2022

All correspondences to he addressed te the Executive Director

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related