UTUMISHI LOGO

TANGAZO LA KUUZA VIWANJA 14 KWA NJIA YA ZABUNI VIWANJA NA. 125 — 138 KITALU ‘Q’ KITISI MTAA WA MAJENGO KATIKA HALMASHAURI YA MJIWA MAKAMBAKO – NJOMBE

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

SHERIA YA ARDHI

(SURA 113)

TANGAZO LA KUUZA VIWANJA 14 KWA NJIA YA ZABUNI VIWANJA NA. 125 — 138 KITALU ‘Q’ KITISI MTAA WA MAJENGO KATIKA HALMASHAURI YA MJIWA MAKAMBAKO – NJOMBE

(Chini va Fungu la 52 na Kanuni ya 4 ya kanuni za Minada na Zabuni za Ardhi G.N

Na. 73:2001)

1. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatoa taarifa kwa umma kuhusu uuzaji wa Viwanja Na. 125 -138 Kitalu ‘Q’ Kitisi, Mtaa wa Majengo katuka Halmashauri ya My: wa Makambako kwa nyia ya Zabun1.

2. Halmashauri ya Mj: wa Makambako itatangaza Zabun: ya kuuza viwanya hivi kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi (Sura ya 113) na kama ilivvoainishwa katika Kanuni za kuendesha Minada na Zabuni za Ardhi za mwaka 2001 zilizochapishwa katika Gazeti la Serikali. Tangazo Namba 73 la tarehe 04:3/2001 na Namba 135 la tarehe 20th 05:2011.

(Jedwali la Malezo va Kiwanya)

DKT.ANGELINE S. L. MABULA (Mb.)

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

DODOMA

WhatsApp
Twitter
Email
LinkedIn
Instagram

Related