Close

June 24, 2020

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Wilaya ya Mbarali Tarehe 1 Julai 2020

HALMASHURI YA WILAYA YA MBARALI

OFISI YA RAISI TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Mkurugenzi mtendaji wa halmashuri anawatangazia waombaji wa kazi ya mtendaji kijiji III kuwa usaili upengwa kufanyika tarehe 01/07/2020 katika shule ya sekondari ya Rijewa iliopo hlamshauri ya wilaya ya MBarali. tangazo hili linapatikana kwenye tovuti ya halmashauri www.mbaralidc.go.tz na tovuti ya sekretariati ya ajita www.ajira.go.tz

waombaji wote wafike kabla ya saa 2 asubuhi na wakiwa na vyati halis vya

  • vyeti vya elimu ya sekondari
  • vyeti vya taaluma
  • cheti cha kuzaliwa na
  • kalamu ya kuandikia

KUSOMA MAJINA HAYO PAKUA PDF HAPO CHINI