Part time Offered Salary :

NAFASI ZA USAJILI NDANI YA DIRECT SALES AND SOCIAL MEDIA ADVERTISING PROJECT (D. S. S. PROJECT)

Email Job
  • Share this Job :

Job Description

DIRECT SALES AND SOCIAL MEDIA ADVERTISING PROJECT (D S S PROJECT)

Tunatafuta watu 15 watakaosajiliwa katika PROJECT yetu inayoanza Mwezi huu wa Kwanza 2019, watakao Tengeneza kuanzia Tsh 70,000 Kila siku kwa kutumia mafunzo ya namna ya kutumia social media.( direct sales and social media advertising)

VIGEZO

-Uwe tayari kujifunza na kuelekezwa.
-Mkazi wa Dar es Salaam
-Umri kuanzia 23yrs
-Mwenye Uthibitisho wa uraia kwa kuwa na kitambulisho Chochote

-tayari kufika ofisini kwetu ukihitajika.

NB: Watapitia mafunzo baada ya uainishwaji
NAFASI NI KWA WAKWANZA

Mawasiliano :-

Whatsapp:- 0652815409

Sms:- 0652815409

Email:- [email protected]

Website:- Www.Mosesadika.com

Related Jobs