Urgent
Full time Offered Salary :

NAFASI YA KAZI (GENUINE STATIONERY) UDOM

Email Job
  • Share this Job :

Job Description

1. AWE MSICHANA MWENYE UMRI KATI YA MIAKA 18 NA 24
2. AWE MKAZI WA DODOMA
3. AWE NA ELIMU KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA
4. AWE NA UJUZI WA KUTUMIA COMPUTER NA APPLICATION ZA MICROSOFT OFFICE
5. AWE NA SPEED NZURI YA KUTYPE
6. AWE MWAMINIFU NA KUIPENDA KAZI YAKE
7. MKAZI WA MAENEO YA KARIBU NA CHUO CHA UDOM ATAPEWA NAFASI ZAIDI.