MAFUNDI AC NA UMEME (NAFASI 10)

Full time EA BROTHERS CONTRACTORS CO. LTD in Construction / Facilities
  • Dar es Salaam, Tanzania View on Map
  • Post Date: November 6, 2018
  • Apply Before : November 20, 2018
  • Applications 7
  • View(s) 380
Email Job
  • Share:

Job Detail

  • Experience 3 Years
  • Industry Development
  • Qualifications Certificate

Job Description

Kampuni ya EA brothers Contractors Co. Ltd inatangaza nafasi 10 za mafundi wa Umeme na AC

Sifa za Mwombaji

  1. Awe na Elimu angalao ya Kidato cha nne
  2. Awe na cheti cha VETA daraja la I au II
  3. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu katika nafasi anayoimba
  4. Awe mchapakazi
  5. Asiwe na rekodi ya uhalifu
  6. Wenye ujuzi wa AC na Umeme kwapamoja watapewa kipaombele

JINSI YA KUOMBA

Tuma maombi yako(CV, Barua ya MAombi na vyeti) kwa kupitia anwani hii

EA BROTHERS CONTRACTORS CO LTD

P. O. BOX 72318

DAR ES SALAAM,

Au leta maombi yako kwenye ofisi zetu zilizopo Tabata Relini, Barabara ya Tabata, karibu na chuo cha ualimu St. Mary’s

Kwa maelezo zaid tembelea tovoti yetu

www.eabrothers.co.tz