New Post

Tuesday, November 16, 2021

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NAMTUMBO

 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFİSİ YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO

Unapojibu tafadhali taja:

Kumb. Na. DED/NMT/C.50/747

08 Novemba, 2021

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kupitia Kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na.FA.170/367/01 "TEMP"/46 cha tarehe 07 Oktoba, 2021 kilichotoıewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Anatangaza nafasi za kazi kwa wananchi wa Tanzania wenye şifa na ujuzi wa kujaza nafasi zifuatazo:-

1: Mtendaji wa Kijiji Daraja la III (Nafasi 1)

(a) şifa za Mwombaji:

  Awe amehitimu Kidato cha nne au sita na cheti cha mafunzo (NTA LEVEL 5) katika fani mojawapo kati ya hizi; - Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii (Sociology). Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka katika

Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

(b) Kazi na majukumu ya Mtendaji wa Kijiji Daraja III

Mtendaji wa Kijiji atatekeleza majukumu yafuatayo:-

  Afısa Masuhuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji

  Kusimamia ulinzi na usalama wa Raia na Mali zao,

  Mlinzi wa Amani na msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji,

 

Mkurugenzi Mtendaji (W) S. L. P 55, Namtumbo Mkoa wa Ruvuma, Simu +255 252675008,

Nukushi +255 25 2675008, Barua pepe dedânamtqmbodc.go.tz

  Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo  kijijini,

 Katibu wa Mikutano Mikuu na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji,   kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu za Serikali katika ngazi ya Kijiji.

(c) Ngazi ya Mshahara:

• Mwombaji atakaefanikiwa kuajiriwa kwa Cheo cha Mtendaji wa Kijiji Daraja la III atalipwa mshahara ngazi ya TGS B kwa mwezi.

4: MASHARTI YA JUMLA

  Barua za maombi ziambatishwe na nakala za vyeti vya Elimu, Taaluma, Cheti cha kuzaliwa Cheti au namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) vilivyothibishwa na Wakili au Mahakama,

Mwombaji ambatishe Picha mbili za rangi (Passport Size) za hivi karibuni,

(iii) Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe kwamba vyeti vyao vimehakikiwa na kuthibitishwa na Mamlaka (TCU au NECTA) kulingana na ngazi ya cheti,

(iv) Maombi yaambatishwe na maelezo binafsi (CV),

(v) Mwombaji awe na umri wa miaka 18 hadi 45

Mwombaji mwenye sifa anatakiwa kutuma maombi kupitia Posta kwa anuani ifutayo;-

Mkurugenzi Mtendaji (W),

Halmashauri ya Wilaya Namtumbo,

S. L. P 55,

NAMTUMBO.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 21/11/2021 saa tisa Alasili.

 NB: Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Halmashauri

Mkurugenzi Mtendaji (W) S. L. P 55, Namtumbo Mkoa wa Ruvuma, Simu +255 252675008,

Nukushi +255 25 2675008, Barua pepe ded@namtumbodc.go.tz