New Post

Tuesday, November 9, 2021

PAIND SALES EXECUTIVE INTERNSHIP/VOLUNTEERS (30 POSITION) AT TSEOT

 
                                              
           
 

Think of Self Employment Organization Tanzania (TSEOT), ni Shirika lisilo la kiserikali lenye usajili namba 00NGO/R/1292 chini ya kifungu namba 24, 2002 cha katiba ya usimamizi wa mashirika yasiyo ya kiserikali kama ilivyorekebishwa mwaka 2005 na 2019 na lina vibali kufanya shughuli zake nchi nzima yaani mikoa yote ya Tanzania Bara. Makao makuu ya shirika yako Mtaa wa Barabara ya Mwinyi, Nyumba namba 1663, Jengo namba 180, Kata ya Kilakala, Halmashauri ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam.

 

Shirika limetoa fursa ya ajira kwa kuwatangazia vijana na wadau mbalimbali kupitia miradi yake kadhaa ambayo tayari imeanzishwa kwa mtanzania yoyote yule atakayekidhi vigezo vya kazi hii.

 

MALIPO YA KAZI HII YATAFANYIKA KULINGANA NA JUHUDI ZA UFANYAJI KAZI WAKO KATIKA SHIRIKA kwa Volunteers / Inters wote katika sekata tofauti ndani na nje ya uongozi au usimamizi wa miradi ya shirika.

 

MRADI WA SHIRIKA LA (TSEOT) UNAOHITAJI VOLUNTEERS NA INTERNS

Mradi:  TSEOT STATIONARIES PROJECT.

 

Hivyo Shirika la TSEOT linatoa wito kwa Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea amabao wako tayari kushirikiana na shirika la TSEOT katika utekelezaji wa mradi huo katika mikoa mbalimbali nchini. 

Waombaji wote wenye utayari kushiriki katika mradi huo husika watapaswa kufanya yafuatayo na pia kuzingatia vigezo sitahiki vya mwombaji.

 

 

                          

                                                           @tseotofficialTanzania_

                                            

Temeke Dar es Salaam                                                              

UTENDAJI WA KAZI / MAJUKUMU YA KIKAZI KWA MWOMBAJI.

Unatikiwa kutafuta wahitaji wa huduma mojawapo au zote ambazo zinatolewa katika Stationaries za Shirika la TSEOT mfano kama kutafuta shule, makampuni, mashirika, Nursery Schools (Chekechea) au wadau/Watanzania amabao wana uhitaji wa huduma tajwa hapo na pindi ukileta wateja wa kazi tajwa hapo juu katika stationaries zetu, utalipwa MSHAHARA kulingana na ukubwa wa kazi zitakazokuwa zinafanywa na wateja uliowaleta ofisini.

 

Malipo sio ya kusubiri ni ya papo kwa hapo au unaweza kuchukua malipo yako kwa mwezi kilingana na makubaliano yako na

                   SIFA ZA MWOMBAJI

1.       Awe mtanzania mwenye kitambulisho chochote au barua ya utambulisho wa makazi.

2.       Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, jinsia yoyote ile.

3.       Awe na elimu ya kujua kusoma pia na kuandika.

4.       Awe na simu ya mawasiliano.

5.       Awe mchapa kazi na mwenye tabia njema za kuridhisha na anayejituma.

6.       Hakuna uzoefu wowote katika kazi unaohitajika hata kama mwombaji hakuwahi kufanya sales issues (mauzo) sehemu yoyote badala yake utapata uzoefu kupitia TSEOT.

7.       Awe na uwezo wa kuzungumza vyema na wateja.

FAIDA PAMOJA NA MANUFAA_    ATAKAYOYAPATA MWOMBAJI.

Shirika kimikataba.                                               

1.      Kujengewa mtandao mkubwa wa

kupata          fursa   mbalimbali   kwa wadau mbalimbali.

2.      Kupata kazi ya moja kwa moja ndani ya Shirika la TSEOT pale nafasi za kazi zikitoka.

3.      Kupata uzoefu katika utendaji kazi.

4.      Kuongeza thamani ya Cv yako.

5.      Kujiingizia kipato kupitia Shirika la TSEOT.

 

Maombi yote ya kazi yatumwe kwa Mkurugezi Mtendaji wa Shirika la TSEOT kupitia barua pepe kaboboansgr@gmail.com au kupitia WhatsApp Namba +255 783 533 706. Mwisho wa kutuma maombi ni Tarehe 9/12/2021.

 

 

   Katika ujenzi wa Taifa;

                                                           @tseotofficialTanzania_