New Post

Monday, November 22, 2021

New Form Four and Above Government Jobs Opportunies (20posts) at DODOMA City Council

 


                                                                   

 New Form Four  and Above Government Jobs Opportunies (20posts) at DODOMA City Council


New Form Four  and Above Government Jobs Opportunies (20posts) at DODOMA City Council

GANO WA TANZANIA 


OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA 

Unapojibu tafadhali taju: Kumb. NA. HMD/S.20/44/119 

17/11/2021 

TANGAZO LA KAZI YA MKATABA 

KWA MUJIBU WA KIBALI CHA KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA KIKAO CHA TAREHE 15/11/2021 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA AMBAO NI RAIA WA TANZANIA KUOMBA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA KAMA IFUATAVYO: 

1. MADEREVA (20) 

(a) SIFA 

AWE RAIA WA TANZANIA. (ii) AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA IV. 

(iii) AWE NA LESENI YA UDEREVA KATIKA DARAJA E AU C YA 

UENDESHAJI MAGARI NA AMEENDESHA GARI KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA (1) BILA KUSABABISHA AJALL. 

livAWE AMEHUDHURIA MAFUNZO YA UENDESHAJI WA MAGARI 

(BASIC DRIVING COURSE) YANAYOTOLEWA NA CHUO CHA UFUNDI STADI (VETA) AU CHUO CHOCHOTE KINACHOTAMBULIWA NA SERIKALI. 

(v) MWENYE CHETI CHA MAJARIBIO YA UFUNDI DARAJA LA II WATAFIKIRIWA KWANZA. 

 Mtaa wa CDA SLP 1343, 41783 Dodoma, Simu +25540354817. Nulushi +255703021550, Baruer 


rugega tr Tovuti www dodom aubi 


KAZI NA MAJUKUMU. 


KUKAGUA GARI KABLA NA BAADA YA SAFARI ILIKUBAINI HALI YA USALAMA WA GARI 


(11) KUPELEKA WATUMISHI MAENEO MBALIMBALI YA SAFARI 


(H) KUFANYA MATENGENEZO MADOGO YA GARI. 


(iv) KUKUSANYA NA KUSAMBAZA NYARAKA MBALIMBALI (V) KUJAZA NA KUTUNZA TAARIFA ZA SAFARI ZOTE KATIKA 


DAFTARI LA SAFARI 


(vi) KUFANYA USAFI WA GARI 


(vii) KUFANYA KAZI NYINGINE KADRI ATAKAVYOELEKEZWA NA 


MSIMAMIZI WAKE. 


MSHAHARA: TGS B YAANI 430,000 NA KUENDELEA. 


MAMBO YA JUMLA YA KUZINGATIA ) 


1. WAOMBAJI WOTE WAWE NA UMRI USIOZIDI MIAKA 45 NA 


USIOPUNGUA MIAKA 18. 


2. AJIRA HII NI YA MKATABA WA MWAKA MMOJA NA MASHARTI MENGINE YA AJIRA HII YATAKUWA KATIKA MKATABA WA AJIRA. 


3. WAOMBAJI WOTE WAAMBATANISHE VIVULI VYA VYETI VYAO KWENYE BARUA ZA MAOMBI, PIA WAANDIKE NAMBA ZAO ZA 


SIMU. 


4. BARUA ZIBANDIKWE PICHA MBILI ZA (STAMP SIZE) 


5. WATAKAOTIMIZA MASHARTI YALIYOTAJWA WATATAARIFIWA 


TAREHE YA USAILI KUPITIA SIMU ZAO. 


3 Mtaa wa CDA SLP. 1249, 41183 Dodoma, Sumu +255282554817 Nukushi +255787331550 Bäne Pie codi dodomaca 0012 Tovuti www.dodoties g . 


Deadline: 01st December, 2021