New Post

Wednesday, November 10, 2021

Names Called for Work Released Today 10th November, 2021 by Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) at UTUMISHI

  

 


 

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 

OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

  

 

Kumb. Na. JA.9/259/01/98                                  

                                                         

08 Novemba, 2021 

 

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

 

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 25 - 29 Oktoba, 2021 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Data base) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana. 

 

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta. 

 

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya

Ajira.

 

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

NB: Waombaji wanaokuja kuchukua barua zao wanatakiwa kuwa na kitambulisho na wawe wamevaa Barakoa.

NA

MAMLAKA YA AJIRA

KADA

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

1

 

MKURUGENZI MKUU, MAMLAKA YA

SERIKALI MTANDAO (eGA)

ICT OFFICER II

(SECURITY

MANAGEMENT)

 

1.    FELIX LAZARO SAMUEL

 

2.    SELEMAN ABDALLAH

DADI

 

ICT OFFICER II

(BUSINESS ANALYST)

 

1. MARIJANI HUSSEIN

KARANDA

 

ICT OFFICER II

(SYSTEMS

ADMINISTRATOR)

 

1. JOSEPH SIMON

MWALUNYIKA

 

ICT OFFICER II

(APPLICATION

PROGRAMMER/MOBILE

APPLICATIONS)

 

1. EMMANUEL SAMWEL

SAI

 

ICT OFFICER II

(APPLICATION

PROGRAMMER/WEB

DEVELOPER)

 

1. ELIAS VEDASTUS

YOHANA

 

2

MKURUGENZI MTENDAJI,

MAMLAKA YA

MAJISAFI NA USAFI

WA 

MAZINGIRA MJINI

MULEBA

(MLUWASA)

 

FUNDI BOMBA

1.    MUSA AMOS

BIKALAKALA

 

2.    SAMWEL EDSON

SENENTA

 

3.    ALONE ELIAS

NTAHONDI

 

 

NA

MAMLAKA YA AJIRA

KADA

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

3

MKUU WA CHUO,

CHUO CHA

USIMAMIZI WA

WANYAMAPORI

(MWEKA)

 

LIBRARY ASSISTANT 

1. RAJABU SAIDI MUHULUKA

 

4

MKURUGENZI MKUU,

OFISI YA RAIS,

IDARA YA

KUMBUKUMBU NA

NYARAKA

 

AFISA KUMBUKUMBU II

1. MARYAM AYOUB ATHMAN

 

5

MENEJA

MWANDAMIZI

RASILIMALIWATU,

SHIRIKA LA UMEME

TANZANIA

(TANESCO) –

UBUNGO UMEME PARK

ICT OFFICER II 

1.    ISSA RAJABU JUMA

 

2.    SALUM KONDO MFAUME

 

3.    ELINEKA DANFORD MALEO

 

4.    ETHANI CAPHACE

KITILAH

 

5.    DENIS AMANI NJELEKA

 

6.    CHRISTOFFER

MANASE SKILLA

 

7.    BUKHARY HARUNA

KIBONAJORO

 

8.    LUCAS JOHN NSIMBA

 

9.    PAUL JAMES NYANDAGO

 

6

MKURUGENZI WA UTAWALA NA

RASILIMALIWATU, OFISI YA RAIS,

SEKRETARIETI YA

AJIRA KATIKA

UTUMISHI WA UMMA (PO – PSRS)

ICT OFFICER II

1.    MATHEW SIMON MATILIA

 

2.    PAULO MADOSHI MANONI

 

 

NA

MAMLAKA YA AJIRA

KADA

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

 

 

 

 

7

MKURUGENZI

MTENDAJI (W),

HALMASHAURI YA

WILAYA YA KYELA

 

 

 

AFISA KILIMO MSAIDIZI

II

1. KWEKA VICTOR CRISTOPHER

 

8

MKURUGENZI

MTENDAJI,

BODI YA TAIFA YA

WAHASIBU NA

WAKAGUZI WA

HESABU

(NBAA)  

 

AFISA MASOKO II

1. SALIMU ALLY KASUMARI

 

9

MKURUGENZI

MTENDAJI (W),

HALMASHAURI YA

WILAYA YA SINGIDA

 

MSAIDIZI UFUGAJI

NYUKI II

1. SARAH KAMBARAGE MAJIGE

 

10

MKURUGENZI MKUU,

SHIRIKA LA RELI

TANZANIA 

(TRC)

ARTISANS II

(MECHANICAL - WELDING)

1.    SELEMANI HUSSENI MAGOHE

 

2.    NASHON AMOSY MADENGE

 

3.    RAMADHANI SELEMANI KIMWERI

 

4.    SALUMU AFLAHA MOHAMEDI

 

ARTISANS II (DIESEL ELECTRICAL)

1. YOHANA SIMION SIJILA 

 

ARTISANS II  (SIGNAL

AND

TELECOMMUNICATION

S) 

1.    KULWA MASOUD BUNDUKI

 

2.    ALLEN NELSON KABUMBIRE

 

 

NA

MAMLAKA YA AJIRA

KADA

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

 

 

 

3.    LEAH ANDREW BUZARE

 

4.    FRANK NELSON LANDA

 

RECEPTIONIST II

1.    BONIFACE MSAFIRI WILLIAM

 

2.    ISAYA COSMAS

MWAMBENE

 

3.    REJOICE ANTHONY

NONI

 

4.    MAIMUNA TALIBU HASSANI

 

ASSISTANT

COMMERCIAL OFFICER

II (MARKETING)

 

1. SHABANI RAMADHANI MWARABU

 

ASSISTANT

COMMERCIAL OFFICER

II (TRAVELLING TICKET

EXAMINERS)

1.    JAMILA SAIDI MSAGULA

 

2.    FOSTENE SEDEKIA

MPELEYE

 

3.    ISSA BASHIRI

BILEGEYA

 

4.    EMMANUEL CHARLES SONJE

 

5.    ELIZABETH CHARLES

WILLIAM

 

 

6.    ALLY IDDI MDOE

 

7.    SALUMU AMOUR

BAKARI

 

STATION MASTER II

1. ZAINABU JUMA MDABULO

 

NA

MAMLAKA YA AJIRA

KADA

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI

 

 

 

2.    AGATHA THOMAS MGANILWA

 

3.    RAMADHANI NGONDAE

NGONDAE

 

4.    DEUS KOBERO DEUS

 

5.    BUNDI SALU MASHITA

 

ICT OFFICER II

(SYSTEM

ADMINISTRATOR)

1.    ROBERT EMMANUEL MAWERE

 

2.    FELIX LAZARO SAMUEL

3.    JOSEPH SIMON MWALUNYIKA

 

4.    ELISONGUO WILFRED MOSHI

 

ACCOUNTS ASSISTANT

II

1. REAGANI JOSIAH

YUSTO

 

11

MKUU WA CHUO,

CHUO CHA UFUNDI

ARUSHA

(ATC)

 

HEALTH ATTENDANT

1. NAOMI OMBENI ISAYA

 

 

 

 

 

 

LIMETOLEWA NA KATIBU

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA