New Post

Thursday, November 4, 2021

Job Position, MTAKWIMU II - 1 POST at Wizara ya Mifugo na Uvuvi

 POST DETAILS

POST MTAKWIMU II - 1 POST

POST CATEGORY(S) BANKING, ECONOMICS AND FINANCIAL SERVICES

STATISTICS AND MATHEMATICS

EMPLOYER Wizara ya Mifugo na Uvuvi

APPLICATION TIMELINE: 2021-11-03 2021-11-16

JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kubuni na kuendeleza mfumo wa kitaifa wa kukusanya na kuratibu takwimu;

ii.Kutengeneza utaratibu wa kukusanya takwimu pamoja na ule wa kuchukua takwimu za mifano/vielelezo “Sampling”;

iii.Kukusanya, kuchambua na kuwasilisha takwimu ngazi za juu; na 

iv.Kazi nyingine kama atakavyopangiwa na Msimamizi wa kazi.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani ya Takwimu, Hisabati au Sifa zinazolingana na hizo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia Kompyuta.


REMUNERATION TGS D

TO APPLY CLICK HERE