New Post

Monday, November 22, 2021

Dereva Il (Nafasi l) - Halmashauri Wilaya ya Kasulu

 HALMASHAURI YA MJI KASULU

(Barua zote ziandikwe kwa Mkurugenzi wa Mji)

tovuti: www.kasulu.cm

Halmashauri ya MjiKaSL

Barua pepe:

S. L. P 475


      Simu: +255282810335                                                 ya Mkurugenzi wa

WI1/2021

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.

    Hairnashauri ya Mji wa Wilaya ya Kasulu   imepokea kibáli cha Ajira Mbadala chenye

                                               Cha tarene                                    kutoka wa Katibu Mkuu,Ofis,

Rais,Meneiementl ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kufuatia kibab Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu anawata.ngazia Watanzania Wote wenye sifa na kutuma maombl ya natasi ho kwa kunngatia sifa. v•gezo na maelekezo yahy0 tangazo hili.

Dereva Il (Nafasi l)

Sifa za Mwombaji

                         Awe na Cheti cha kidatO cha IV

Awe na lesen.daraja a •E• au "C' • ya uendeshaji wa magari

(iii) Awe arnehudhuna mafunzo ya rnSlngi uendeshaii magari (two: driving course) yanayoto\ewa na Chuo cha mafunzo ufundi s ad' (VETA) au Chuo kangtne kinachotambuliwa na serikali

Waombaji wenye cheti cha majaribio ya ufundi daraja la

Kazi za kufanya:-

                   0)        Kuendesha magari ya abiria. na malori,

 Kuhakikisha gari na "Ornb0 "ake VipO katika hali nŽuri wote_ na kufanyp uchunguzi wa gan kabla na baada ya sat": kugundua ubovu unachitaii matengenezo,

                  (iii)      Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.

Kutunza na kuandika daftari safari •Log-book' kwa safari ZOtc Na kazi nyinglne atakazopangiwa na msimamizi wake.

Mshahara : Ngazi ya TGS B

Muda kazi

 hii inatarajiwa kuwa ya kudumu.

MAMBO YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI.

Muombaji Raia Tanzani* na tayari kufanya kazi Sehernu yoy•te • katika Halmashauri ya Mii wa Kasulu.

2 Awe mwenye urnri kati ya miaka 18-45

Barua za muombali ziambattshwe na nakala za Vyeti Vya Elimu. Taaluma. C' cha Kuzaliwa na Picha mbi'l (2) za rangi (Passpart size) za hivi kanbunlo Barua Za maornbi ziambatishw• na maelezo b•nafsi ya muombaji (CV) Testmomals, "Provisonal Results• Statement Of Results• hati za rrtatokew ktdato cha Nne na Sita (Farm IV and Form VI Results SLIPS) HAVITAKUBALIV•V/V

6.     Waombaii wabosoma          ya "Chi waambatishe uthbtt'Sh0 wa Vyet' vya0 Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)

7.     Pia tangazo hili linapatikana kwenye tovuti ya www.kasulutc.go.tz

 M".qsho kupokea maombi ni tarehe 22/11/2021 Saa 9:30 Alasiri


Tangazo hili linafuta tangazo la tarehe 03/11/2021

Maombi Pte yatumwe kwa Anuani 'fuatayo:•

Mkurugenzi wa Mii.

Hàlmashauri ya Mii,

SLP 475

KASULU.

Dollar RL Kusenge

MKURUGENZI WA MJ' KASULU