New Post

Saturday, May 8, 2021

MSANIFU MAJENGO DARAJA II at Halmashauri ya Wilaya ya Meru

 


 

POST MSANIFU MAJENGO DARAJA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) CREATIVE AND DESIGN
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Meru
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19


JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Msanifu Majengo aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili husika kama “Professional Architect” ili kupata uzoefu unaotakiwa;

ii. Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha kupata sifa za kutosha kusajiriwa na Bodi ya Usajili inayowahusu Wasanifu Majengo;

iii.Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za Usanifu wa Majengo;

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali za majengo yanayowasilishwa Wizarani;

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Usanifu Majengo (Architect) kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS E

The deadline for submitting the application is 19 May 2021.

 TO APPLY CLICK HERE