New Post

Saturday, May 8, 2021

AFISA MISITU DARAJA LA II at Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga

 


 

POST AFISA MISITU DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19


JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kusimamia upandaji na uhudumiaji wa miti na misitu;

ii.Kusimamia uendelezaji wa misitu ya kupandwa isiyozidi hekta 5,000 au ya asili isiyozidi hekta 10,000;

iii.Kufanya utafiti wa misitu;

iv.Kutekeleza Sera na Sheria za misitu;

v.Kuendesha mafunzo ya Wasaidizi wa Misitu;

vi.Kukusanya takwimu za misitu;

vii.Kufanya ukaguzi wa misitu;

viii.Kupanga na kupima madaraja ya mbao;

ix.Kudhibiti leseni na uvunaji wa miti;

x.Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendelezaji na matumizi endelevu ya miti na misitu kwa wananchi;

xi.Kufanya ukadiriaji wa rasilimali za misitu; na

xii.Kupima maeneo na kuchora ramani za misitu.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Shahada ya Misitu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au Vyuo Vikuu vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS D

The deadline for submitting the application is 19 May 2021.

TO APPLY CLICK HERE