New Post

Wednesday, February 10, 2021

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II at Ministry of Health (MOH)

 POST MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH (MOH)
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA


DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kupanga na kuthibiti kumbukumbu/nyaraka katika vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu;

ii.Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Wizara za serikali na Taasisi zake;

iii.Kutafuta kumbukumbu/nyaraka zinazohitajiwa na wasomaji;

iv.Kufanya ukarabati kumbukumbu zilizoharibika; na

v.Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika vyumba vya kuhifadhia nyaraka.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha sita wenye cheti cha Mafunzo ya Utunzaji Kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama au Ardhi.

REMUNERATION TGS B

The deadline for submitting the application is 23 February, 2021

TO APPLY CLICK HERE