New Post

Wednesday, February 10, 2021

MSAIDIZI WA HESABU at Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

 


POST MSAIDIZI WA HESABU – 1 POST
POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA


DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;

ii.Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;

iii.Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;

iv.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na

v.Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, Hesabu za Benki na Amana.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Cheti cha ATEC level II au “Foundation Level” kinachotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).

REMUNERATION TGS B

The deadline for submitting the application is 23 February, 2021

TO APPLY CLICK HERE