New Post

Wednesday, February 10, 2021

MPIGA CHAPA MSAIDIZI at Prime Minister’s Office

 POST MPIGA CHAPA MSAIDIZI – 1 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Prime Minister’s Office
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA


DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kukunja karatasi ngumu na kutengeneza ‘covers’ za vitabu, majarida, madaftari katika mahitaji mbalimbali kwa kugandisha, kuweka pamoja au kushona katika hali mbalimbali za ubora;

ii. Kukarabati vitabu, kumbukumbu mbalimbali au majarida kwa kuyawekea gamba jipya au kurudisha katika hali yake ya mwanzo kutegemea na kifaa hicho kilichoharibika;

iii.Kupanga vifaa vilivyotegenezwa katika makasha kwa vipimo vyake au katika seti;

iv.Kuendesha mashine za kukata karatasi/kupiga chapa/mashine za composing, kushona au kugandisha vitabu, majarada, madaftari na vifaa vingine vinavyokuwa vimetakiwa kwa mtindo na ubora wake; na

v.Kupanga karatasi zitakazochapwa kwa hesabu ya kila kitabu, jarida, daftari na vinginevyo kwa kushonwa au kugandishwa pamoja.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au VI katika masomo ya sayansi au Sanaa, wenye cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la I (Trade Test Grade I) katika “lithography/composing/binding/mashine Minding”, au waliohitimu mafunzo ya miaka miwili ya kupiga chapa.

  

REMUNERATION TGS B

The deadline for submitting the application is 23 February, 2021

TO APPLY CLICK HERE