New Post

Wednesday, February 10, 2021

MKUFUNZI DARAJA II at Ministry of Health (MOH) POST MKUFUNZI DARAJA II – 1 POST

 
POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH (MOH)
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES


i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo kwa wanafunzi wa astashahada na stashahada;

ii.Kuendesha mafunzo kwa kozi za uhandisi ujenzi kwa wanafunzi wa astashahada na stashahada;

iii.Kuandaa michoro na makadrio ya kazi za ujenzi;

iv.Kusimamia na kukagua kazi za ujenzi zinazofanywa na taasisi;

v.Kutoa huduma ya ushauri wa kitaalamu;

vi.Kusimamia wanafunzi wakati wa mafunzo kwa vitendo;

vii.Kufanya tafiti mbalimbali zinazohusiana na kazi za ujenzi;

viii.Kutekeleza kazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Uhandisi Ujenzi (Civil Engineering) wenye G.P.A ya 3.5 na kuendelea kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS D

The deadline for submitting the application is 23 February, 2021

 TO APPLY CLICK HERE