New Post

Wednesday, February 24, 2021

Mameneja Usafirishaji, Wasimamizi na Madereva Maroli wanahitajika katika Kampuni ya Usafirishaji na kukodisha Magari Tanzania Hospitality Services

  


PO Box 17562

 

Dar es Salaam

Tanzania

 

022 286 2330

 

tanzaniahospitalityservices@gmail.com

 

 

Kampuni ya Usafirishaji na kukodisha Magari Tanzania Hospitality Services yenye makao makuu yake Changombe,Temeke- Dar es salaam Inamahitaji ya haraka katika nafasi zifuatazo:

 

Mameneja Usafirishaji

 

Wasimamizi

 

Madereva Maroli

 


VIGEZO JUMUISHI

 

              Uzoefu usiopungua miaka 5

 

              Mwenye afya na siha njema

 

              Asiye na kumbukumbu za makosa ya jinai

 

              Mwenye Leseni daraja  E & C

 

              Umri usiopungua miaka 30

 

              Mwenye uwezo wa kuendesha/ uzoefu wa kuendesha Zaidi ya 1000km

 

              Meneja/Wasimamizi mwenye uwezo wa kusimamia Zaidi ya magari na watu 200

 

              Ambaye anawadhamini watatu

 

              Mtanzania

 

              Anayeweza kufanya kazi popote Tanzania

 

 

Tuma Maombi yako kwa barua pepe na nyaraka zingine:

 

tanzaniahospitalityservices@gmail.com

 

Kwa maelezo Zaidi Piga +255 22 286 2330 mida na siku za kazi kati ya saa 0300 asubuhi mpaka 11 jioni

 

USILETE MAOMBI KWA MKONO