Dar es Salaam
Tanzania
022 286 2330
Kampuni ya Usafirishaji na kukodisha Magari Tanzania Hospitality Services yenye makao makuu yake Changombe,Temeke- Dar es salaam Inamahitaji ya haraka katika nafasi zifuatazo:
Mameneja Usafirishaji
Wasimamizi
Madereva Maroli
VIGEZO JUMUISHI
• Uzoefu usiopungua miaka 5
• Mwenye afya na siha njema
• Asiye na kumbukumbu za makosa ya jinai
• Mwenye Leseni daraja E & C
• Umri usiopungua miaka 30
• Mwenye uwezo wa kuendesha/ uzoefu wa kuendesha Zaidi ya 1000km
• Meneja/Wasimamizi mwenye uwezo wa kusimamia Zaidi ya magari na watu 200
• Ambaye anawadhamini watatu
• Mtanzania
• Anayeweza kufanya kazi popote Tanzania
Tuma Maombi yako kwa barua pepe na nyaraka zingine:
Kwa maelezo Zaidi Piga +255 22 286 2330 mida na siku za kazi kati ya saa 0300 asubuhi mpaka 11 jioni
USILETE MAOMBI KWA MKONO