Dar es Salaam
Tanzania
022 286 2330
Kampuni ya Usafirishaji na kukodisha Magari Tanzania Hospitality
Services yenye makao makuu yake Changombe,Temeke- Dar es salaam Inamahitaji ya
haraka katika nafasi zifuatazo:
Mameneja Usafirishaji
Wasimamizi
Madereva Maroli
VIGEZO JUMUISHI
•
Uzoefu
usiopungua miaka 5
•
Mwenye
afya na siha njema
•
Asiye na
kumbukumbu za makosa ya jinai
•
Mwenye
Leseni daraja E & C
•
Umri
usiopungua miaka 30
•
Mwenye
uwezo wa kuendesha/ uzoefu wa kuendesha Zaidi ya 1000km
•
Meneja/Wasimamizi
mwenye uwezo wa kusimamia Zaidi ya magari na watu 200
•
Ambaye
anawadhamini watatu
•
Mtanzania
•
Anayeweza
kufanya kazi popote Tanzania
Tuma Maombi yako kwa barua pepe na nyaraka
zingine:
Kwa maelezo Zaidi Piga +255
22 286 2330 mida na siku za kazi kati ya saa 0300 asubuhi mpaka 11 jioni
USILETE MAOMBI KWA MKONO