New Post

Wednesday, February 10, 2021

AFISA LISHE DARAJA LA II at Ministry of Health (MOH)

 POST AFISA LISHE DARAJA LA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS
HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL
RESEARCH,SCIENCE AND BIOTECH
EMPLOYER MINISTRY OF HEALTH (MOH)
APPLICATION TIMELINE: 2021-02-09 2021-02-23
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kukusanya taarifa na takwimu za lishe kutoka kwa wadau na makundi mbalimbali na kutoa ushauri kuhusu lishe bora katika ngazi ya Wizara;

ii.Kuchambua takwimu za lishe na kuandaa taarifa ya watoto na makundi mengine yenye lishe duni;

iii.Kushiriki katika kuandaa mipango ya bajeti ya lishe katika ngazi ya Wizara;

iv.Kutoa taarifa za mara kwa mara za hali ya lishe katika ngazi ya Wizara;

v.Kusimamia kazi za lishe katika ngazi ya Wizara; na

vi.Atafanya kazi nyingine za fani yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza waliojiimarisha katika fani ya Lishe, Sayansikimu na Lishe, Sayansi ya Chakula na Teknolojia ya Chakula au stashahada ya juu ya Lishe kutoka Chuo cha Elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali.

 

REMUNERATION TGS D

The deadline for submitting the application is 23 February, 2021

TO APPLY  CLICK HERE