New Post

Wednesday, January 20, 2021

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashuri ya Mji wa Bunda Tarehe 13 Julai 2020


Halmashuri ya Mji wa Bunda

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili

Mkurugenzi waHalmashuri ya Wilaya ya Bunda Anawatangazia waombaji w nafasi za kazi Mtendaji III & Katibu Mahususi III na Msaidizi wa Kumbukumbu II kuwa usaili utafanyika tarehe 13/07/2020 saa 2 asubuhi makao makuu ya mji wa Bunda www.bundatc.go.tz

Waombaji wafike kabla ya saa 2;00 asubuhi wakiwa na vyeti halisi vya

  • Vyeti vya elimu ya sekondari
  • Vyeti vya taaluma
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Kalamu ya kuandikia
KUSOMA MAJINA HAYO PAKUA PDF HAPO CHINI