New Post

Friday, June 1, 2018

Nafasi za Kazi Katibu wa Mkoa II & Afisa manunuzi Daraja la II - TALGWU, Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 14 Juni 2018

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) Anawatangazia nafasi za kazi Katibu wa Mkoa II & Afisa manunuzi Daraja la II

KATIBU WA MKOA DARAJA LA II TLGSE NAFASI 3

SIFA NA UZOEFU
- Kuajiriwa mwenye shahada ya kwanza katika fani ya sheria, utawala, sosholojia, mipango au elimu kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali
- Awe mzoefu wa kufanya kazi si chini ya miaka 6
- Ni lazima awe mwananchama wa TALGWU
- Awe na ufahamu wa matumizi yaa kompyuta
- Awe na umri usiozidi miaka 45
- Aaambatanishe hati ya kivuli ya Mshahara

Kazi za Kufanya
- Kumuwakilisha Katibu Mku kkatika Mkoa husika
- Atakuwa ndiye msamaji wa chama katika Mkoa
- Kuratibu na kutatua migogoro kati ya Mwajiri na Mwnanchama ambaye imeshindikana kupata ufumbuzi
- kumsaidia katibu mkuu katika kufanya majadiliano ya hali yora kwa wanachama katika Halmashauri za Mikoa yao
- Kuandaa mapendekezo ya bajeti ya Mkoa na kuiwakilisha kwa Katibu Mkuu kwaajili ya kuunganisha katika bajeti ya Chama
- Kuratibu zoezi la kuandikisha wananchama wapya kutoka katika Halmashauri na Mkoa wake
- Kusaidia kuratiu na kutoa mafunzo kwa wananchama katika Mkoa kwa kushirikiana na idara za kuratibu mafunzo katika chama
- Kuratiu shughuli za uanzishwaji wa mabaraz ya wafanyakazi na kuhakikisha kwamba ynafanya kazi wakati wowote
- kuwa katibu wa vikao vyote vya chama katika mkoa
- kuandaa taarifa za kazi na fedha za Chama katika Mkoa

AFISA MANUNUZI DARAJA LA II NAFASI 1

SIFA NA UZOEFU
- Kuajiriwa mwenye shahada ya kwanza katika fani ya Manunuzi au Ugavi kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali
- Awe na cheti kutoka bodi ya Manunuzi
- Mwenye uzoefu wa kufanya kazi za manunuzi atapewa kipaumbele zaidi
- Mwanachama wa TALGUW atafikiriwa zaidi
- awe na umri usiozidi miaka 45

KAZI ZA KUFANYA
- Kukusanya takwiu za kusaidia kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika na Mpango wa Manunuzi
- Kukusanya na kutunza takwimu za wazabuni mbali mbali katika chama
- Kukusanya na kutunza takwimu upokeaji, utunzaji na usmbazaji wa vifaa
- Kubuni mfumo mzuri wa uwekaji na utunzji wa vifaa
- Kusimamia ukaguzi wa kihesabu wa vifaa vya chama mara kwa mara
- Kusaidia katika shughul za Miradi ya Chama
- Kutayarisha taarifa za kazi katik mwezi, robo ya mwaka na kila mwaka,
- kufanya kazi zinginezo atakazo pangiwa na mwajiri wake

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI

waomabaji wenye sifa zilizotajwa watume maombi yao kwa

Katibu Mkuu,
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU),
S.L.P 16096,
Dar es Salaam

NB
Barua zote za maombi ziambatanishwe na wasifu wwa mwombaji , picha moja ya paspoti ya hivi karibuni na nakala zilizothibitishwa viwango vya ufaulu na vyeti vya taaluma, majina matatu ya wadhamini yaonyshe namba zao za simu maombi yatumw kwa njia ya posta

TANGAZO PIA LAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA www.talgwu.or.tz
mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 14/06/2018