New Post

Monday, June 25, 2018

Nafasi za Kazi Kada ya Afya Tunduru, Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 1 Julai 2018

Nafasi za Kazi Zahanati Kada ya Afya Tunduru

Tabibu
- Muombaji awe amemaliza kidato cha 4 au 6 na kuhitimu mafunzo ya utabibu kwa ngazi ya shahada kutoka kwenye chuo chochote kinachotambulika na serikali awe na uzoefu usiopungua miaka miwili

MAJUKUMU/KAZI
- Kufanya kazi zote za kitatbibu
- kutambua na kutibu magonjwa yote ya kawaida
- Kusimamia watumishi walio chini yake
- Kufanya upasuaji mdogo
- Kushiriki katika punga na kutekeleza katika huduma ya afya ya msingi
- kuweka kumbu kumbu ya vifaa vya kutolea huduma
- kuweka kumbu kumbu na kuandaaa taarifa ya utekelezaji

======================

TABIBU MSAIDIZI NAFASI 1
- Muombaji awe amemaliza kidato cha 4 au 6 na kuhitimu mafunzo ya utabibu kwa ngazi ya stashahada kutoka kwenye chuo chochote kinachotambulika na serikali awe na uzoefu usiopungua miaka miwili

MAJUKUMU/KAZI

-Kufanya kazi zote za utabibu msaidizi
- kutambua na kutibu magonjwa yote ya kawaida
- Kusimamia watumishi walio chini yake
- Kufanya upasuaji mdogo
- Kushiriki katika punga na kutekeleza katika huduma ya afya ya msingi
- kuweka kumbu kumbu ya vifaa vya kutolea huduma
- kuweka kumbu kumbu na kuandaaa taarifa ya utekelezaji

WAKUNGA NAFASI 2

- Muombaji awe na elimu ya kidato cha 4 au 6 na aliyehitimu mafunzo ya uuguzi na ukunga kutoka kwenye chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali awe na uzoefu usiopungua miaka miwiwli

MAJUKUMU/KAZI
- Kufanya kazi ya kiuguzi na kuhudumia wateja katika hospitali na jamii
- Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa Afya katika sehemu yake ya kazi
- kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa ya utendaji wake wa kazi
- kutoa usahuri nasaha
- kkutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango
- kutoa hdudma ya uzazi na afya ya mtoto
- kueleimisha wagonjwa na jamii kwa ujumla kuhusu matatizo ya kiafya
- kufuatilia na kutunza vitendea kazi vya maeneno yake ya kazi

AFISA MAABARA NAFASI 1
Muombaji awe na elimu ya kiddato cha 4 au 6 na kuhitimu mafunzo ya maabara kwa ngazi ya stashahada kutoka kwenye chuo chochote kinachotambulika na Serikali awe na uzoefu usiopungua miaka miwili

MAJUKUMU/KAZI
- Kupima smpuli zinazoletwa maabara
- kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa maabara ngazi ya juu
- kufanya ukaguzi wa maabara, vitendea kazi vifaa kemikali na uhifadhi wa kemikali
- kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi
- kufundisha watumishi walio chini yake

AFISA MAABARA MSAIDIZI NAFASI 2
- Muombaji awe na elimu ya kiddato cha 4 au 6 na kuhitimu mafunzo ya maabara kwa ngazi ya cheti kutoka kwenye chuo chochote kinachotambulika na Serikali awe na uzoefu usiopungua miaka miwili

MAJUKUMU/KAZI

- Kutunza usafi wa mabara
- kutunza kumbukumbu matokeo/majibu ya vipimo vya maabara
- kuchukua na kufanya vipim vya sampuli ya waginjwa
- kuandaa kemikali kwaajili ya smpuli ya wagonjwa
- kufanya taratibu za kiuchunguzi
- kuunza taarifa/kumbukumbu za maabara na kuziwasilisha kwa ngazi husika pale zinapohitajika
- kumsaidia afisa maabara mkuu kwenye shughuli za kiutendaji
- kufanya kazi zingine atakazo pangiwa na uongozi wa zinazoendana na utendaji wa kazi yake

MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI NAFASI 2
Mwenye elimu ya kidato cha 4 au 6 awe amehitimu elimu ya mafunzo ya utunzaji kumbukumbu kwa nagzi ya cheti kutoka kwenye chuo kinachotambulika na Serikali na awe na uzoefu suiopungua miaka mwaka 1

MAJUKUMU/KAZI
- Kupokea, kuandikisha na kuhifdhi taarifa za wagonjwa
- kutunza kumbukumbu za wagonjwa wanaoandikishwa wanaoruhusiwa na wengineo
-kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu
- kuweka kumbukumbu katika majalada
- kuthibiti upokeaji na uandikishaji wa kumbukumbu
- kufuata kumbukumbu nyaraka na majalada yanayohitajiwa

MUHUDUMU WA AFYA NAFASI 2
Mwenye elimu ya kidato cha 4 au 6 na aliyehitimu mafunzo ya uhudumu wa afya kwa nagazi ya cheti katika chuo kinachotambuliwa na serikali na awe nauzoefu usipoungua mwaka 1 kwenye taasisi za afya mfano zahanati au kituo cha afya

MAJUKUMU /KAZI
- Kuhakikisha maingira ya kituo yanakuwa safi nje na ndani
- kuhudumia wagonjwa wanao hitaji msaada
- kukusanya na kpeleka file za wagonjwa wodini
- kutoa maelekezo kwa wageni ama wagonjwa wanaofika kituoni
- kusaidi wagonjwa waioweza kutumia viti vya kutembelea
- kupeleka au kuelekeza wagonjwa kwa mganga, muuguzi au maabara
- kumpatia mgonjwa dawa zilizoelekezwa na daktari/nesi

MUHASIBU NAFASI 1

Aliyemaliza kidato cha 4 au 6 mwenye kuhitimu mafunzo ya uhasibu kwa ngazi ya stashahada kutoka chuo kinachotambulika na serikali na mwenye uzoefu wa miaka miwili

MAJUKUMU/KAZI

- KKuandaa cash book
- kuandaa journals entrie na ledgers
- kuandaa cheki
- kuandaa taarifa ya fedha za mwezi
- kuandaa bank reconciliation
- kuanda na kutoa risiti
- kuandaa vitabu na kumbukumbu za fedha kulingana na sera na utaratibu wa fedha

SIFA ZA MUOMBAJI
- Muombaji awe raia wa Tanzania
- waombaji waambatanishe cheti cha kuzaliwa
- nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe katika kichwa cha habari cha barua na juu ya bahasha kutozingatia hili kusababisha maombi kuwa batili
- waombaji waambatnishe maelezo binafsi yenye anwani na namba za simu pamoja na majina ya wadhamini watatu wa kuaminika
- maombi yaambatane na vyeti vya taaluma na maelezo, nakala za vyeti, kidato cha 4 na 6 vyeti vya kuhitimu mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika viambatanisho hivyo vibanwe sawasawa kuondoa uwezekano wa kupotea
- transcripts testimonials, provisional results havitakubaliwa
- baru na maelezo binafsi ziandikwe kwa mkono na kwa lughas ya kiswahli
- uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria

mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 1 Julai 2018 maombi yawasilishwe kwa mkono anwan au barua pepe

OFISI YA KATIBU MTAA,
KANISA LA ANGLIKANA, TUNDURU,
S.L.P 30,
TUNDURU

BARUA PEPE [email protected]