New Post

Friday, June 1, 2018

Nafasi za Kazi Kada ya Afya Halmashuri ya Wilaya ya Shinyanga Tuma Maombi Kabla ya Tarehe 7 Juni 2018

Taasisi ya Afya ya Ukimwi ya Ariel Glasier (AGPHAI) kupitia mradi wa BORESHA unaofadhiliwa na CDD, inafanya kazi na mkoa wa Shinyanga katika afua za VVU/UKIMWI .Huduma zinazofadhiliwa ni pamoja na CTC,PMTCT,HTS na TB/VVU.Ili kuwezesha shughuli hizi AGPHAI kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ina mpango wa kuajiri nafasi zifuatazo:

kusoma kazi hizo bofya hapa http://shinyangadc.go.tz/announcement/tangazo-la-nafasi-za-kazi-za-mkataba