New Post

Friday, June 8, 2018

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Kilolo anawaarifu wafuatao kufika kwenye usaili wa nafasi za kazi ya Mtendaji Kijiji III na Dereva daraja la II utakaofanyika tarehe 11/06/2018 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya Kilolo

Siku ya kwanza tarehe 11/06 utafanyika usaili wa mchujo na kwa wale watakaofalu huo mchujo watatakiwa kufika kwenye usaili wa mahojiao siku itakayofuata tarehe 12/06/2018 na tarehe 13 /06/2018 saa 2 asubuhi katika ukumbi wa Halashauri ya Wilaya ya Kilolo

MAMBO YA KUZINGATIA

1. Kil msailiwa anapaswa kufika na vyeti halisi na nakala za vyeti hivi ambayo ni cheti cha Kuzaliw, Kidato cha 4 au 6 na vyeti vya ujuzi

2. wasailiwa wtaowasilista testimonials na pe=rovisional au hti ya matokeo havitakubaliwa

3. kila msailiwa atajigharamia chakula, usafir na malazi

4. kwa waomabji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika TCU, NECTA na NACTE

5. Waombaji wa kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo hivyo wasisite kuomba pindi nafasi zitakapotangazwa tena na kuzongatia nafasi ya tangazo husika

kusoma majina hayo tembelwa website ya Wilaya ya Kilolo http://www.kilolodc.go.tz