New Post

Friday, June 22, 2018

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI (REA)

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/J/145 21Mei, 2018

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya
Rural Energy Agency (REA) anatarajia kuendesha usaili na hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu
usaili.Wasailiwawanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia
maelekezo yafuatayo:-

i. Usaili wa Mchujo utafanyika tarehe27/06/2018kama ilivyoainishwa
kwenye tangazo hili, muda wa usaili umeainishwa kwa kila kada.

ii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

iii. Vitambulisho vinavyokubalika ni: Kitambulisho cha Mkazi,
Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi,
Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.

iv. Wasailiwa wanatakiwa k ufika na Vyeti vyao Halisi vya kuanzia
kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu,
Shahadaikiwa na Transcript yakena kuendelea kutegemeana na
sifa za Mwombaji.
v. Wasailiwa watakaokosa Vyeti halisi nabadala yake
kuwasilisha“Testimonials”, “ProvisionalResults”,“Statementof
results”, hati matokeo za kidato cha IV na VI (FORM IV AND FORM

VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

vi. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.

vii. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanya
usaili.

viii. Kila Msailiwa anahitajika kufika na cheti halisi cha kuzaliwa

ix. Kila Msailiwa afike na picha yake ‘passport size’

x. Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe kuwa Vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika(TCU na NECTA)

xi. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma
wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili

xii. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo
hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba
tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

kusoma majina hayo bofya hapa