New Post

Wednesday, June 13, 2018

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea anawajulisha kuwa usaili wa Kazi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III utafanyika tarehe 18-19/2018 saa mbili (2:00) kamili asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Nachingweha kuanzia saa 2;00 asubuhi

waombaji wenye sifa wanaoitwa wanatakiwa uzingatia maelekezo yafuatayo

1. Usaili wa mchujo utaanza tarehe 18/06/2018 saa 2 kamili asubuhi

2. watakao fahulu usaili wa mchujo wataendelea na usaili wa ana kwa ana tarehe 19.06.2018 kuanzia saa 2 aubuhi

3. Wasailiwa wanatakiwa kufina na vyeti vyao halisi vya sekondari na taaluma pamoja na ujuzi

4. wasiliwa watakaokosa vyeti halisi ana badala yake kuwasilisha testimonials provisional results statement of results hawataruhusiwa kufanya usaili

5. kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi

waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangzo hilii watambue kuwa hawakukidhi vigezo hivyo wasisite kuomba tena pindi tangazo likitolewa

kusoma majina yayo tembelea tovuti ya halamshauri ya wilaya www.nachingweadc.go.tz na pia yanapatikana katika mbao za matangazo za halmashauri

bofya hapa kuona majina hayo