New Post

Tuesday, June 12, 2018

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga

Tangazo la kuitwa kwenye usaili

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga anawatangazia kuwa kutakuwa na usaili wa nafasi za kazi ya watendaji wa vijiji daraja la III utakaofanyika kuanzia tarehe 18/06/2018 hadi tarehe 20/06/2018 katika ukumbi wa Halmashauri uliopo eneo la Bomani Sumbawanga Mjini kufuataia tangazo hilo lililotolewa tarehe 20/03/2018 lenye KUMB NA. SDC/1.20/19/24

RATIBA YA USAILI NI KAMA IFUATAVYO

1. Usali wa mchujo utafanyika tarehe 18/06/2018 kwa waombaji wote walioorodheshwa hapo chini

2. Tarehe 19/06/2018 hadi tarehe 20/06/2018 utafanyika usaili wa mahijiano kwa waombaji wtakaofahulu kwa alama za juu

MAMBO YA KUZINGATIA

- Muda ni kuanzia saa 2 asubuhi
- Kila msailiwa afike na vyeti vyake halisi vya elimu, taaluma na kuzaliwa na vyeti vingine
- kwa msailiwa atakayekuja na testimonials na provisional results hatakubaliwa kufanya usaili
- kwa wasailiwa wenye vyeti vya nje wahakikishe vyeti vyao vimefanyiwa ulinganifu na mamlaka husika TCU, NACTE na NECTA
- Kila msailiwa atajigharamia usaifi, chakula, malazi na gharama zingine zitakazojitokez
- waombaji ambao majina yao hayakuwepo kwenye tangazo hili wasifike
- tangazo hili linapatikana kwenye tovuti ya halmashauri ambao ni www.sumbawangadc.go.tz

kusoma majina ya waliochaguliwa tembelea tovuti ya halamshauri www.sumbawangadc.go.tz