New Post

Saturday, June 2, 2018

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

 

 

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega, anawatangazia waombaji wa nafasi za watendaji wa vijiji kwa waliorodheshwa hapo chini kufika kwenye usaili wa mchujo ambao utafanyika kuanzia tarehe 4Juni,2018 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

kusoma majina hayo bofya hapa