New Post

Wednesday, June 27, 2018

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Mzumbe

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/J/149 26 JUNI, 2018

KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makamu Mkuu
wa Chuo, Chuo Kikuu Mzumbe anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia
vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili.
Wasaili wawanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

1. Usaili wa Mchujo utafanyika tarehe 02/07/2018 na Usaili wa Vitendo utafanyika
tarehe 03/07/2018 kama ilivyoainishwa kwenye tangazo hili,

2. Muda na mahali usaili utakapofanyika umeainishwa kwa kila kada.

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni: Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha
Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya
kusafiria.

4. W a s a i l i w a w a n a t a k i w a k ufika na Vyeti Halisi vya kuanzia kidato cha
IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana
na sifa za Mwombaji.

5. Wasailiwa watakaokosa Vyeti halisi na badala yake kuwasilisha“Testimonials”,
“Provisional Results”,“Statement of results”, hati matokeo za kidato cha IV na VI
(FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA NA
HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

6. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
7. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanya usaili.

8. Kila Msailiwa anahitajika kufika na cheti halisi cha kuzaliwa

9. Kila Msailiwa afike na picha yake ‘passport size’

10.Kwa wale waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na
kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU na NECTA)

11.Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawa kukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi
nafasi za kazi zitakapotangazwa.

KUSOMA MAJINA HAYO BOFYA HAPA